OFA ! OFA ! OFA YA KITABU
KWA WATU 20
KITABU CHA HATUA MUHIMU ZA MAFANIKIO
Mafanikio ni moja ya shauku ya kila mmoja juu ya maisha yake, naamini hata wewe unatamani sana kufanikiwa.
Je unazifahamu hatua muhimu ambazo kama utazifwata zaitachangia mafanikio yako? Nimekuandalia kitabu hiki ambapo ndani ya kitabu hiki utakwenda kujifunza mambo yafuatayo:
1.wakati sahihi wa kukamilisha mafanikio yako
2.sababu inayowafanya watu wengi wasifanikiwe
3.Nguvu iliyojificha nyuma ya historia ya maisha yako.
N.K